Kama wewe ni mteja mwenye akaunti zaidi ya moja BETGlobal, kutokana na utaratibu mpya wa , kuanzia tarehe 01/06/2022 unatakiwa kusitisha matumizi ya akauti nyingine utakayotaka au utakazotaka zifutwe tarehe 31/01/2023, na kuendelelea kutumia akaunti unayotaka ibaki pekee.